Diason David
JF-Expert Member
- Aug 2, 2018
- 7,557
- 7,381
Mshindi anaweza kuwa yeyote jaribu bahati yako
nashi anaweze kunisadia kuwa mshindi?
nashi anaweze kunisadia kuwa mshindi?
Bahati yako sijui user name yako halisia!Mshindi anaweza kuwa yeyote jaribu bahati yako
Kukitambua kikomo cha anga ni kugumuHalisia ni kitu kigumu sana kukitambua
Kugumu lakini inawezekanaKukitambua kikomo cha anga ni kugumu
Inawezekana nchi yetu ikawa tajiri kama nchi nyingine za MagharibiKugumu lakini inawezekana
Magharibi wametangulia tayari, nchi yetu ikifika level zile basi hutakiwi kuitwa kijana tenaInawezekana nchi yetu ikawa tajiri kama nchi nyingine za Magharibi
Magharibi ndipo ambapo jua huzamaInawezekana nchi yetu ikawa tajiri kama nchi nyingine za Magharibi
Huzama chumvini kwenye mgodi maridadiMagharibi ndipo ambapo jua huzama
maridadi sana wanawake wa leo hutokelezeaHuzama chumvini kwenye mgodi maridadi
Hutokelezea na nguo za kubana, make-up na kucha fake wakidhani ndo umaridadimaridadi sana wanawake wa leo hutokelezea
umaridadi ni tofauti na uzuriHutokelezea na nguo za kubana, make-up na kucha fake wakidhani ndo umaridadi
Uzuri hauna faida bila usafiumaridadi ni tofauti na uzuri
usafi wa mwili hauna maana km ni mtenda mabayaUzuri hauna faida bila usafi
Mabaya ni umbo la ndani au njeusafi wa mwili hauna maana km ni mtenda mabaya
nje ngozi ya kondoo ila ndani mbwamwitu, ndivyo watu walivyo.Mabaya ni umbo la ndani au nje
nje ngozi ya kondoo ila ndani mbwamwitu, ndivyo watu walivyo.
marafiki zangu walinitenga nilipofuliaWalivyo niona nina Pesa wakawa marafiki zangu.
Nilipofulia ndipo nikajua kwamba marafiki wanamaanisha chako changu changu changu mwenyewe.marafiki zangu walinitenga nilipofulia
Nilipofulia walinicheka sanamarafiki zangu walinitenga nilipofulia