Xoldier
JF-Expert Member
- Mar 27, 2017
- 424
- 153
Wapi walipo watekaji wa MO nadhani transaction completeMshindi sabuni ya kufulia, imepotelea wapi
Wapi walipo watekaji wa MO nadhani transaction completeMshindi sabuni ya kufulia, imepotelea wapi
Complete safe and derived...... Hahahahahaaa funnyWapi walipo watekaji wa MO nadhani transaction complete
Funny coz wame win and hope they can Run this townComplete safe and derived...... Hahahahahaaa funny
Town kumepoa sasa baada MOFunny coz wame win and hope they can Run this town
MO kwa jinsi alivyo, kwa siku hizi kadhaa, kachoka, mpaka ningekutana nae Wala nisinge fahamu Kama Ni yeyeTown kumepoa sasa baada MO
Yeye mwenyewe anajishangaa akitazama picha zake za zamani kabla ya kutekwaMO kwa jinsi alivyo, kwa siku hizi kadhaa, kachoka, mpaka ningekutana nae Wala nisinge fahamu Kama Ni yeye
Kutekwa bwana kubaya, pengine mambo mengine aliyokutana nayo si rahisi kusemaYeye mwenyewe anajishangaa akitazama picha zake za zamani kabla ya kutekwa
Kusema kutakuwa na masharti kama Roma , ili kusiharibu uchunguziKutekwa bwana kubaya, pengine mambo mengine aliyokutana nayo si rahisi kusema
Uchunguzi ikiisha mnitag nije kuuonaKusema kutakuwa na masharti kama Roma , ili kusiharibu uchunguzi
Kuuona ufalme wa mbinguni kwa tajiri ni sawa na ngamia kupita katika tundu la sindanoUchunguzi ikiisha mnitag nije kuuona
Sindano ya matakoni inauma kuliko fimboKuuona ufalme wa mbinguni kwa tajiri ni sawa na ngamia kupita katika tundu la sindano
Fimbo ya mbali haiui nyokaSindano ya matakoni inauma kuliko fimbo
Nyoka haumi maafisa wanaojielewa na walopita 821 KJFimbo ya mbali haiui nyoka
KJ yaani Kikosi cha JeshiNyoka haumi maafisa wanaojielewa na walopita 821 KJ
Jeshi Ni moja ya ntuzo imara Sana katika nchi, hasa jeshi imaraKJ yaani Kikosi cha Jeshi
Imara zaidi ya simbaJeshi Ni moja ya ntuzo imara Sana katika nchi, hasa jeshi imara
Simba ndiye mfalme wa poriImara zaidi ya simba
Pori la siku hizi limeja binadamu wenye roho za kinyama mpaka wanyama wenyewe wanawashangaaSimba ndiye mfalme wa pori
Wanawashangaa binAdam kwa sababu maumbo hayafanani na ya kwaoPori la siku hizi limeja binadamu wenye roho za kinyama mpaka wanyama wenyewe wanawashangaa
Kwao umbo sio inshu bali tabiaWanawashangaa binAdam kwa sababu maumbo hayafanani na ya kwao