dingihimself
JF-Expert Member
- Jan 9, 2016
- 9,802
- 20,296
Ule Wa zama za kale au za katiHuujui huu lakini unaujua ule!
Ule Wa zama za kale au za katiHuujui huu lakini unaujua ule!
Wakorofi watakwisha tu maana kaz ya kuwasaka ndo kwanza imeanzaKundini kwetu hatutaki watu wakorofi
Wakorofi wengi wanadandia nyuzi bila utaratibuKundini kwetu hatutaki watu wakorofi
Utaratibu umewekwa lakini hawauzingatii, wanatuharibiaWakorofi wengi wanadandia nyuzi bila utaratibu
Utaratibu gan uanoutaka wewe sabab mshindi n yule wa mwishoWakorofi wengi wanadandia nyuzi bila utaratibu
Mwisho Wa chuki huwa ni nini?Utaratibu gan uanoutaka wewe sabab mshindi n yule wa mwisho
Mwisho mwa uzi wa nyuma ndo mwanzo wa uzi unaofuataUtaratibu gan uanoutaka wewe sabab mshindi n yule wa mwisho
Ni nini? Bado najiuliza sana kilichosababisa maisha mtaani kuwa magumu?Mwisho Wa chuki huwa ni nini?
Magumu kwa sababu ya wasiojulikanaNi nini? Bado najiuliza sana kilichosababisa maisha mtaani kuwa magumu?
Wasiojukikana mwarobaini wa kuwamaliza uko mwishoni kukamilikaMagumu kwa sababu ya wasiojulikana
Wasiojulikana walikuwa zamani siku hizi wanajulikanaMagumu kwa sababu ya wasiojulikana
Wanajulikana kwa kutumia CCTV!Wasiojulikana walikuwa zamani siku hizi wanajulikana
CCTV za kibongo ni za kisasa sana mpaka unafurahiWanajulikana kwa kutumia CCTV!
Unafurahi kwa kuwa umefurahishwa ukichukizwa utachukiaCCTV za kibongo ni za kisasa sana mpaka unafurahi
Unafurahi kwa kua hayajakufikaCCTV za kibongo ni za kisasa sana mpaka unafurahi
Hayajakufika hata wewe ndio maana uko hapa unalalamaUnafurahi kwa kua hayajakufika
Unalalama kwa kutetea waliofikwa na matatizo ili nawe yakikufika uteteweHayajakufika hata wewe ndio maana uko hapa unalalama
Utetewe na nani wakati panya wote wanaogopa kumvika paka kengeleUnalalama kwa kutetea waliofikwa na matatizo ili nawe yakikufika utetewe
Kengele ndio ambayo huwaruhusu watoto wanapokua mashuleniUtetewe na nani wakati panya wote wanaogopa kumvika paka kengele
Mashuleni hali si shwari ndio maana wanafunzi wanachaguliwa kuingia sekondari wakati hawajui a wala beKengele ndio ambayo huwaruhusu watoto wanapokua mashuleni