1b kwa mahesabu aliyofanya mwanaJF mmoja humu ni kubwa!Kijana weka nguvu kumsaka MO upate 1b
Kubwa sana unaweza kuitumia mpaka unakufa kw maisha yetu ya ki Afrika1b kwa mahesabu aliyofanya mwanaJF mmoja humu ni kubwa!
Africa inashangaza dunia, sio kwa rasilimali wala vivutio ni aina ya binadamu wanaoishi humoKubwa sana unaweza kuitumia mpaka unakufa kw maisha yetu ya ki Afrika
Humo ndani ya Dunia ujue na Afrika imo!Africa inashangaza dunia, sio kwa rasilimali wala vivutio ni aina ya binadamu wanaoishi humo
Imo na inashangaza mataifa mengineHumo ndani ya Dunia ujue na Afrika imo!
Mengine husemwa tu kuhusu bara la Afrika lakini mengine ni ya kujitakia sisi wenyewe!Imo na inashangaza mataifa mengine
Wenyewe tunahisi tunaonewa kisa ukweli mchunguMengine husemwa tu kuhusu bara la Afrika lakini mengine ni ya kujitakia sisi wenyewe!
Mchunguu hasaaa ukiutafunaaWenyewe tunahisi tunaonewa kisa ukweli mchungu
Mchungu kwelikweli we angalia tu katika maisha ya kawaida mtu akisema ukweli wa tabia mbaya aliyonayo mtuWenyewe tunahisi tunaonewa kisa ukweli mchungu
mtu ni mtumishiMchungu kwelikweli we angalia tu katika maisha ya kawaida mtu akisema ukweli wa tabia mbaya aliyonayo mtu
Mtumishi wa umma kipindi hiki kazi kwelikwelimtu ni mtumishi
kwelikweli lkn ndivyo inavyotakiwaMtumishi wa umma kipindi hiki kazi kwelikweli
Inavyotakiwa kutakikanakwelikweli lkn ndivyo inavyotakiwa
kutakiana heri ni jambo jemaInavyotakiwa kutakikana
Jema sana ila tu yasiwe ya kinafkikutakiana heri ni jambo jema
Kinafki imekuwa kama tamaduni ya mtu mweusiJema sana ila tu yasiwe ya kinafki
Mweusi hajawahi kuamini kwamba anaweza ishi bila rushwaKinafki imekuwa kama tamaduni ya mtu mweusi
Rushwa usipoiamini basi jua utaiamini takrimaMweusi hajawahi kuamini kwamba anaweza ishi bila rushwa
Takrima ni jina la kitaalam la kupiga pesaRushwa usipoiamini basi jua utaiamini takrima