mgosani
JF-Expert Member
- Dec 25, 2014
- 1,004
- 1,138
Pesa,fedha,hela,ngawira vyote vina maana mojaTakrima ni jina la kitaalam la kupiga pesa
Pesa,fedha,hela,ngawira vyote vina maana mojaTakrima ni jina la kitaalam la kupiga pesa
Pesa ndio sababu ya kila kituTakrima ni jina la kitaalam la kupiga pesa
Kitu kidogo pia ni rushwaPesa ndio sababu ya kila kitu
Rushwa ni adui wa hakiKitu kidogo pia ni rushwa
Haki hakuna Afrika ndo maana viongozi hawataki kuachia madarakaRushwa ni adui wa haki
Haki hakuna Afrika ndo maana viongozi hawataki kuachia madaraka
Kulevya ni sawa kugoma kwa kunogewa na ladha uliyo onjaMadaraka kulevyaa
Onja onja hiyo ndio husababisha kumaliza junguKulevya ni sawa kugoma kwa kunogewa na ladha uliyo onja
Jungu kuu ndo halikosi ukokoOnja onja hiyo ndio husababisha kumaliza jungu
Ukoko umeliwa pia wametuachia makapiJungu kuu ndo halikosi ukoko
Makapi mengine ya viwandani hutumika kutengenezea chakula cha mifugo.Ukoko umeliwa pia wametuachia makapi
Mifugo nayo inahaki zao,Makapi mengine ya viwandani hutumika kutengenezea chakula cha mifugo.
Zao kama la mpunga ni muhimu sana kulima kwa ajili ya biashara na zao jingine ni la mtama.Mifugo nayo inahaki zao,
Mtama alioigwa muheshimiwa JK mwanza kwenye kampeni., ulishtua Sana wanausalama wanaojiona smart zaidi yetuZao kama la mpunga ni muhimu sana kulima kwa ajili ya biashara na zao jingine ni la mtama.
Yetu maharagwe birian lakishari!Mtama alioigwa muheshimiwa JK mwanza kwenye kampeni., ulishtua Sana wanausalama wanaojiona smart zaidi yetu
Lakishari tunaambiwa tunapenda vijana lakini hata kazi ngumu bado mitaji hatunaYetu maharagwe birian lakishari!
Hatuna mitaji kwa sababu jiwe limeshindwa kazi yakeLakishari tunaambiwa tunapenda vijana lakini hata kazi ngumu bado mitaji hatuna
Yake maulana hatimae tushukuru Mo amepatikanaHatuna mitaji kwa sababu jiwe limeshindwa kazi yake
Yake macho mtu yule aliyepembeni akicheki mchezo huu wa wamwisho ndio mshindiHatuna mitaji kwa sababu jiwe limeshindwa kazi yake