007 De Souza
JF-Expert Member
- Feb 19, 2015
- 901
- 486
Yako yanakushinda ila ya wenzako domo linakudinda...
Yako kwa ampendaeYako wapi aliyoahidi jamaa yako?
Ulichofanyiwa hakina madharaLinakudinda kila ukikumbuka ulichofanyiwa
Madhara ya uchafu ni maradhiUlichofanyiwa hakina madhara
Maradhi, ujinga na umaskini ni maaduiMadhara ya uchafu ni maradhi
Maadui zake Ni rafiki zako mate,unalijua Hilo?Maradhi, ujinga na umaskini ni maadui
Hilo silijui, nielezeeMaadui zake Ni rafiki zako mate,unalijua Hilo?
Nieleze alichokufanyia mpaka ukahadithia kwa nduguzoHilo silijui, nielezee
Nduguzo ndio watakaokua nawe wakati wa matatizoNieleze alichokufanyia mpaka ukahadithia kwa nduguzo
Matatizo yakiisha marafiki ndio wanaibukaNduguzo ndio watakaokua nawe wakati wa matatizo
Simba ni mnyama wa mwituni hawezi kuishi mjiniSana tena sana Yanga hamuwezi Simba
Mjini ni kwaajili ya Yanga hivyo simba mjiandae tar.30 mtapata kichapo cha mbwa kokoSimba ni mnyama wa mwituni hawezi kuishi mjini
Mbwa koko kuna maeneo huwa wanaliwaMjini ni kwaajili ya Yanga hivyo simba mjiandae tar.30 mtapata kichapo cha mbwa koko
Mbwa koko kuna maeneo huwa wanaliwa
wahehe wanapenda kila aina ya nyama si ya mbwa tuWanaliwa Iringa na wahehe