Wa mwisho ndiyo mshindi

Wa mwisho ndiyo mshindi

Walengwa kwani ni kufanya matengenezo ya vivuko vingine?
Walengwa ndo hawa?
FB_IMG_1538074561714.jpg
 
Walifanyia kazi gani kweli sijui
sijui ni jibu tosha hata serikali ipo sahihi kufanya marekebisho kwani hujaskia habari ya yule mama aliemuombea mumewe angekufa kwenye mv nyerere ila apate rambirambi
 
sijui ni jibu tosha hata serikali ipo sahihi kufanya marekebisho kwani hujaskia habari ya yule mama aliemuombea mumewe angekufa kwenye mv nyerere ila apate rambirambi
Rambirambi inamtoa udenda kiasi cha kutamani mumewe angekufa!
 
Back
Top Bottom