fizo talent
JF-Expert Member
- Oct 17, 2017
- 2,256
- 3,889
Mda mzuri ni saa tisaNyie waoga tu, safari ni safari haijali mda
Mda mzuri ni saa tisaNyie waoga tu, safari ni safari haijali mda
Inawezekana but haitakuwa rahisi
Zinakuwa chache kama pesa nchini TanzaniaRahisi zaidi ni usiku maana movement zinakuwa chache
Tanzania nchi ya viwandaZinakuwa chache kama pesa nchini Tanzania
Tanzania yetu ya viwandaZinakuwa chache kama pesa nchini Tanzania
Viwanda vya kumtafuta wa mwisho ndiye mshindiTanzania yetu ya viwanda
Viwanda vya kumtafuta wa mwisho ndiye mshindi
Niachieni rambirambi za marehemu wa Mv Nyerere wasiotambulikaMshindi niwe mimi basi, nyie wanaume vipi? Niachieni![]()
Wasiotambulika ndio wasiojulikana?Niachieni rambirambi za marehemu wa Mv Nyerere wasiotambulika
Wasiojulika wameshindwa kupatikana mpaka leo pamoja na matukio yote waliyofanyaWasiotambulika ndio wasiojulikana?
Waliyofanya yanasikitishaWasiojulika wameshindwa kupatikana mpaka leo pamoja na matukio yote waliyofanya
Yanasikitisha sana kwa kua wengine hawajulikani walipo na wengine wana vilema vya maishaWaliyofanya yanasikitisha
Yanasikitisha sana kwa kua wengine hawajulikani walipo na wengine wana vilema vya maisha
Wenzao na wenzenu wamelalaMaisha ni duara ipo siku yatawarudia wanayowatendea wenzao
Wenzao na wenzenu wamelala
Nilale nami piaWamelala kumbe, ngoja na mimi nilale
Nilale mapema yote kwani me mtoto wa vidudu!?Wamelala kumbe, ngoja na mimi nilale
Pia usisahau kushusha chandaruaNilale nami pia
Mtoto wa vidudu ndo yukoje?Nilale mapema yote kwani me mtoto wa vidudu!?
Yukoje alikuwa mchezaji hondari katika timu maarufu ya takauchi huko nchini japan.Mtoto wa vidudu ndo yukoje?