fizo talent
JF-Expert Member
- Oct 17, 2017
- 2,256
- 3,889
Kusikia ni jambo moja ila kuyafanyia kazi unayosikia ni jambo linginesikioni kuna ngoma ambayo husaidia kusafilisha mawimbi ya sauti ili upate kusikia
Kusikia ni jambo moja ila kuyafanyia kazi unayosikia ni jambo linginesikioni kuna ngoma ambayo husaidia kusafilisha mawimbi ya sauti ili upate kusikia
Tofauti za kiuchumi huonyesha tabia za ndani za watu katika jamiikuheshimiana huja pale kunapokuwa na tofauti za kiuchumi
Lingine ni kutamani kufa haliyakuwa familia yako inakutegemea weweKusikia ni jambo moja ila kuyafanyia kazi unayosikia ni jambo lingine
wew ni mtu muhimu sana kwenye jamii yako; jitahidi kila unalolifanya liwe sahihi ili watu wajifunze yaliyo mema kutoka kwakoLingine ni kutamani kufa haliyakuwa familia yako inakutegemea wewe
Wewe ndo unatamani kufa?🤔Lingine ni kutamani kufa haliyakuwa familia yako inakutegemea wewe
Kwako ni wapi mbombowew ni mtu muhimu sana kwenye jamii yako; jitahidi kila unalolifanya liwe sahihi ili watu wajifunze yaliyo mema kutoka kwako
kufa kila mtu lazima afe ila watu huwa wanaogopa sana kutanguliaWewe ndo unatamani kufa?🤔
Kutangulia kunauma asikwambie mtukufa kila mtu lazima afe ila watu huwa wanaogopa sana kutangulia
Kufa?haki ya nani sijawahi kutamani kufa japo najua ipo siku nami nitakufa, namwomba mungu anipe maisha marefu yenye furaha na amaniWewe ndo unatamani kufa?![]()

Amani na upendo viwe kwako daimaKufa?haki ya nani sijawahi kutamani kufa japo najua ipo siku nami nitakufa, namwomba mungu anipe maisha marefu yenye furaha na amani![]()
Kwako pia uwe na maisha yenye kufanya wengine wawe na furaha juu yakowew ni mtu muhimu sana kwenye jamii yako; jitahidi kila unalolifanya liwe sahihi ili watu wajifunze yaliyo mema kutoka kwako
Daima na milele mafanikio yakawe sehemu ya maisha yakoAmani na upendo viwe kwako daima
Maisha yako yasipungukiwe mafanikioDaima na milele mafanikio yakawe sehemu ya maisha yako
Mafanikio humfuata kila mwenye kuyatafutaMaisha yako yasipungukiwe mafanikio
Kuyafuata ni rahisi ila kuyapata ni vigumuMafanikio humfuata kila mwenye kuyatafuta
Ni vigumu kuyapata mafanikio kwa mwenye kukata tamaa, kikubwa ni kuendelea kupambana bila kukata tamaa mwisho utakula matunda ya kazi yakoKuyafuata ni rahisi ila kuyapata ni vigumu
Ni vigumu kuyapata mafanikio kwa mwenye kukata tamaa, kikubwa ni kuendelea kupambana bila kukata tamaa mwisho utakula matunda ya kazi yako
Yangu ni yetu na yetu ni yako na yako ni yaoYako yako na yangu yangu.
Yangu yangu ndo nini mkuu?.Yako yako na yangu yangu.
Mkuu Wa nchi nasikia kaenda VenezuelaYangu yangu ndo nini mkuu?.