Wa mwisho ndiyo mshindi

Mawazo kila siku kichwani kuhusu namna ya kujikwamua kiuchumi limekuwa ni jambo la kawaida sana kwa mtanzania yeyeote haswa baada ya serikali ya ccm kuamua kutumia hela za walipa kodi kuwanunua wabunge na madiwani wa upinzani.
 
Upinzani sio lazima upinge, hata hiki ulichokifanya hapa cha kupost bila kufuata kanuni za huu uzi ni upinzani pia.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…