captain sparrow339
JF-Expert Member
- Sep 5, 2018
- 288
- 354
Wameshaichoka hii thread walio anzanayomwisho wake ni lini maana raia wameshaichoka
Wameshaichoka hii thread walio anzanayomwisho wake ni lini maana raia wameshaichoka
walioanza nayo sio kuichoka tu wengine wamekufa kabisa ila hii ni km IsidingoWameshaichoka hii thread walio anzanayo
Isidingo inaendelea au imeisha!?walioanza nayo sio kuichoka tu wengine wamekufa kabisa ila hii ni km Isidingo
imeisha?ile haiishi sana sana utaiacha wwIsidingo inaendelea au imeisha!?
ww na Mimi wote tutaiachaimeisha?ile haiishi sana sana utaiacha ww
Vyetu vitukuu watakao kuwa na akili za kidigitalitutaiacha sisi na vitukuu vyetu
Kidigitali itakua ishabadilika sijui kutakua na jina ganiVyetu vitukuu watakao kuwa na akili za kidigitali
Jina gani ni swali fikirishi sana tusubiri yajayo yenye kufurahishaKidigitali itakua ishabadilika sijui kutakua na jina gani
Kufurahisha kutakuja baada ya ccm kutoka madarakaniJina gani ni swali fikirishi sana tusubiri yajayo yenye kufurahisha
Madarakani ni kitamu sana hakuna asieyataka madarakaKufurahisha kutakuja baada ya ccm kutoka madarakani
madaraka ni matamu hasa ukiwa chama tawalaMadarakani ni kitamu sana hakuna asieyataka madaraka
Tawala za kishetani ndo hizomadaraka ni matamu hasa ukiwa chama tawala
hizo ni tawala za kibabeTawala za kishetani ndo hizo
Kibabe Ni Aina ya kuonyesha utumiaji nguvuhizo ni tawala za kibabe
Nguvu ndio mtaji wa africaKibabe Ni Aina ya kuonyesha utumiaji nguvu
Africa ndio bara la kinyonge kabisa
kabisa kwa kua watawala wana nguvu ya mtutuAfrica ndio bara la kinyonge kabisa
Mtutu ni njia pekee ya kuhitaji kuteka merikabisa kwa kua watawala wana nguvu ya mtutu