Wakala Mtongwe
Member
- Dec 7, 2017
- 86
- 91
Sikuiona alama ya pesa kwenye Till namba yangu ya uwakalaMeri ya titanic ilikua kubwa hata kama sikuiona
Sikuiona alama ya pesa kwenye Till namba yangu ya uwakalaMeri ya titanic ilikua kubwa hata kama sikuiona
Uwakala wa mtandao upi wa simu?Sikuiona alama ya pesa kwenye Till namba yangu ya uwakala
uwakala siku hizi kamisheni imekua ndogoSikuiona alama ya pesa kwenye Till namba yangu ya uwakala
Imekuwa ndogo kwa sababu mawakala mmekuwa wengi kila konauwakala siku hizi kamisheni imekua ndogo
Kona za mlima kitonga ni balaaImekuwa ndogo kwa sababu mawakala mmekuwa wengi kila kona
Balaa litupishie mbali tusiokuwemo!Kona za mlima kitonga ni balaa
tusiokuwemo bado tumelalaBalaa litupishie mbali tusiokuwemo!
Tumelala kama Chadema walivolalatusiokuwemo bado tumelala
Walivolala wewe ulikua wapiTumelala kama Chadema walivolala
Dar es salaam ni ngome ya makahaba kwa TanzaniaWapi nitapata dada poa hapa jijini Dar es salaam?
Nalog off
Tanzazia ni nchi ya demokrasiaDar es salaam ni ngome ya makahaba kwa Tanzania
Demokrasia hakuna tena kuna utendaji wa maigizo kwa watawala wetuTanzazia ni nchi ya demokrasia
Wetu umaskini wa kujitakia, utajiri ni wao!Demokrasia hakuna tena kuna utendaji wa maigizo kwa watawala wetu
Wao wamekula tamu ya nchi sisi tukibaki tunalalama na kauli mbiu ya maisha boraWetu umaskini wa kujitakia, utajiri ni wao!
Bora kuzaliwa ulaya kuliko TanzaniaWao wamekula tamu ya nchi sisi tukibaki tunalalama na kauli mbiu ya maisha bora
Tanzania ndio nchi pekeee yenye RAIS ambae hajawahi kwenda dunianiBora kuzaliwa ulaya kuliko Tanzania
Duniani ni hapo ulipo ww sio huko unapopawaziaTanzania ndio nchi pekeee yenye RAIS ambae hajawahi kwenda duniani
Unapopawazia wewe sipo anapopawazia jiweDuniani ni hapo ulipo ww sio huko unapopawazia