Bhagavan
JF-Expert Member
- Oct 28, 2017
- 2,005
- 2,894
Mtajitafuti wenyewe kwa utaratibu wenuCCM mbele kwa mbele, maendeleo mtajitafutia
Mtajitafuti wenyewe kwa utaratibu wenuCCM mbele kwa mbele, maendeleo mtajitafutia
Utaratibu wenu wa kutusomesha namba sio mzuriMtajitafuti wenyewe kwa utaratibu wenu
Mzuri binti yule hakupata kuolewa.Utaratibu wenu wa kutusomesha namba sio mzuri
Kuolewa na Nani kwa usawa huu wa jiweMzuri binti yule hakupata kuolewa.
Jiwe yeye anatamba kwa kauli za mzaliane kwa wingi,huyu si mtu Bali ni JiweKuolewa na Nani kwa usawa huu wa jiwe
Jiwe lishakua zito kila kona ni majutoJiwe yeye anatamba kwa kauli za mzaliane kwa wingi,huyu si mtu Bali ni Jiwe
Majuto ni mjukuu ipo siku majuto atakuwa kitukuu.Jiwe lishakua zito kila kona ni majuto
Kitukuu au kilembwe mwaka huu mbona kimbembeMajuto ni mjukuu ipo siku majuto atakuwa kitukuu.
Kimbembe zaidi ni kupata ugali.Kitukuu au kilembwe mwaka huu mbona kimbembe
ugali upo wa kutosha maana mahindi hayana sokoKimbembe zaidi ni kupata ugali.
Soko subiri mpaka mipaka ifunguliweugali upo wa kutosha maana mahindi hayana soko
Ifunguliwe ile mboga zoteSoko subiri mpaka mipaka ifunguliwe
Zote wapi.... Akiba itabaki na pato litaongezekaIfunguliwe ile mboga zote
litaongezeka lkn halitotoshelezaZote wapi.... Akiba itabaki na pato litaongezeka
Halitatosheleza Kama kiwango cha uzalishaji kitapungualitaongezeka lkn halitotosheleza
Kitapungua ndio na hilo litakuwa suala MtambukaHalitatosheleza Kama kiwango cha uzalishaji kitapungua
mtambuka ni kiswahili sanifiKitapungua ndio na hilo litakuwa suala Mtambuka
kilisanifishwa na bakitaSanifu sababu kilisanifishwa
Bakita ipo mda mrefu Sana lakin chaajabu kiswahili hakijafika tunapopatakakilisanifishwa na bakita