fizo talent
JF-Expert Member
- Oct 17, 2017
- 2,256
- 3,889
zote kuliko kitu chochote
Zote hizo ni siasaCCM naichukia kwa moyo wangu wote na akili zangu zote
Zote hizo ni fikra zilizopo kichwani kwakoCCM naichukia kwa moyo wangu wote na akili zangu zote
siasa ni mchezo mchafuZote hizo ni siasa
Mchafu usiofaa kuendekezwasiasa ni mchezo mchafu
kuendekezwa kunaendelea sababu ya raiaMchafu usiofaa kuendekezwa
Raia hawajitambui wanapelekeshwakuendekezwa kunaendelea sababu ya raia
wanapelekeshwa ili kukamilisha maana ya siasa ni mchezo mchafuRaia hawajitambui wanapelekeshwa
Siasa ni mchezo mchafu Afrika tu au dunia nzima?wanapelekeshwa ili kukamilisha maana ya siasa ni mchezo mchafu
Siasa ni mchezo mchafu Afrika tu au dunia nzima?wanapelekeshwa ili kukamilisha maana ya siasa ni mchezo mchafu
Umezidi kivipi?nzima ila africa ndio umezidi
kivipi? huoni africa ilivyo na wapenda madaraka hata nchi hawataki kuachiaUmezidi kivipi?
Kuachia hawataki kwasababu hawaoni wa kuwaachiakivipi? huoni africa ilivyo na wapenda madaraka hata nchi hawataki kuachia
Kuachia madaraka ni ngumu hata wewe ungekuwa Raisi usingejaribuKuachia hawataki kwasababu hawaoni wa kuwaachia
usingejaribu kwa kua unawaza uhalifuKuachia madaraka ni ngumu hata wewe ungekuwa Raisi usingejaribu
Uhalifu sio mzuri tuuacheusingejaribu kwa kua unawaza uhalifu
tuuache huu mchezo sasa hapa ndio mwishoUhalifu sio mzuri tuuache
Mwisho? Aaah wapi, huu mchezo hautakaa uishetuuache huu mchezo sasa hapa ndio mwisho