dingihimself
JF-Expert Member
- Jan 9, 2016
- 9,802
- 20,296
Uchawi mimi siupi nafasi hata kidogomlozi ni yule aliyebobea ktk uchawi
Uchawi mimi siupi nafasi hata kidogomlozi ni yule aliyebobea ktk uchawi
Uchawi ni kama mazingaombwemlozi ni yule aliyebobea ktk uchawi
Ukiujia, nadhani una maana ukiujuamazingaombwe ni mchezo mzuri km ukiujia
ukiujua utapoteza muda wako kwa mambo ya ajabuUkiujia, nadhani una maana ukiujua
ajabu ni karatasi kugeuka kuwa helaukiujua utapoteza muda wako kwa mambo ya ajabu
Hela kuzipata siku hizi ni shida kwelikweliajabu ni karatasi kugeuka kuwa hela
hela huimarisha mapenziajabu ni karatasi kugeuka kuwa hela
mapenzi na hela ni km maji na samakihela huimarisha mapenzi
samaki hasa wale wa ziwa Tanganyikamapenzi na hela ni km maji na samaki
Muungano shule ya msingiTanganyika ni jina Tanzania kabla ya muungano
elimu haina mwishoMsingi wa maisha ya dunia na akhera Ni elimu
Mwisho wa Chadema umewadia.elimu haina mwisho
Umewadia mwisho wa ccm sio chademaMwisho wa Chadema umewadia.
Chadema yadema dema kwenye shimoUmewadia mwisho wa ccm sio chadema
Shimo lenyewe lina utelezi na hawawezi kutoka milele.Chadema yadema dema kwenye shimo
Milele daima sitoipigia kura CCMShimo lenyewe lina utelezi na hawawezi kutoka milele.
CCM oyeeeeeeeeMilele daima sitoipigia kura CCM