Crumpy Crumper
JF-Expert Member
- Dec 20, 2016
- 2,348
- 3,309
Pesa imekuwa sana hii AwamuNguvu inaletwa na pesa
Pesa imekuwa sana hii AwamuNguvu inaletwa na pesa
Awamu ijayo nitahama hii nchiPesa imekuwa sana hii Awamu
Nchi hii na Somalia haina tofautiAwamu ijayo nitahama hii nchi
Tofauti pekee iliyopo ni kuwepo kwa ccm na chademaNchi hii na Somalia haina tofauti
Chadema hawana uhuru hata wa kuongelea mambo yaoTofauti pekee iliyopo ni kuwepo kwa ccm na chadema
Yao yanawashinda wataweza ya wenzaoChadema hawana uhuru hata wa kuongelea mambo yao
Wenzao nao hawana msimamoYao yanawashinda wataweza ya wenzao
Msimamo mbele ya njaa ni ujuhaWenzao nao hawana msimamo
Ujuha ni kuamini CCM itatutoa kwenye umaskiniMsimamo mbele ya njaa ni ujuha
Umaskini ni laana tuliyoachiwa na wakoloniUjuha ni kuamini CCM itatutoa kwenye umaskini
Wakoloni kama wangebaki TZ tungekuwa mbali kiuchumiUmaskini ni laana tuliyoachiwa na wakoloni
Kiuchumi tungekuwa mbali ila kiutamaduni tungekuwa nyumaWakoloni kama wangebaki TZ tungekuwa mbali kiuchumi
Nyuma ya Raisi kuna watu wengi sana, sijui kwanini hawamshauriKiuchumi tungekuwa mbali ila kiutamaduni tungekuwa nyuma
Hawamshauri kwasababu hashaurikiNyuma ya Raisi kuna watu wengi sana, sijui kwanini hawamshauri
Hashauriki kutokana na kiburi chakeHawamshauri kwasababu hashauriki
Chake hakizidi cha Farao, ipo siku tu kitamwishaHashauriki kutokana na kiburi chake
Kitwamwisha lakini mpaka atoke madarakaniChake hakizidi cha Farao, ipo siku tu kitamwisha
Madarakani hatoki leo wala keshoKitwamwisha lakini mpaka atoke madarakani
Kesho yetu ipo mikononi mwetuMadarakani hatoki leo wala kesho