Thad
JF-Expert Member
- Mar 14, 2017
- 13,402
- 31,652
Porojo za wanasiasaWananchi wanataka maendeleo na sio porojo
Porojo za wanasiasaWananchi wanataka maendeleo na sio porojo
wanasiasa wa bongo ni pasua kichwaPorojo za wanasiasa
Kichwa chako hakina usingizi? Lala uniachie ushindi wa masaa hata sitawanasiasa wa bongo ni pasua kichwa
Sitalala mpaka niibuke mshindiKichwa chako hakina usingizi? Lala uniachie ushindi wa masaa hata sita
Mshindi ni MimiSitalala mpaka niibuke mshindi
Mimi nasubiri kukabidhiwa kombeMshindi ni Mimi
kombe la uji lakin sio la ushindiMimi nasubiri kukabidhiwa kombe
Ushindi nitaupata hata kwa ndumbakombe la uji lakin sio la ushindi
Ndumba hazijawai kumuacha mtu salamaUshindi nitaupata hata kwa ndumba
Salama yako ni kushusha neti ulaleNdumba hazijawai kumuacha mtu salama
ulale usingizi na sasa kumekuchaSalama yako ni kushusha neti ulale
Kumekucha amkeni nyoteulale usingizi na sasa kumekucha
nyote au wote tukajenge taifaKumekucha amkeni nyote
Taifa gani lisiloisha kujengwa, nimeshachoka kajengeni wenyewenyote au wote tukajenge taifa
wenyewe ndio mimi na ww usichokeTaifa gani lisiloisha kujengwa, nimeshachoka kajengeni wenyewe
Usichoke kujenga mimi nitakuja kupaka rangi siku mtakayomaliza kujengawenyewe ndio mimi na ww usichoke
kujenga nchi hakuhitaji rangi zaidi ya kuchapa kaziUsichoke kujenga mimi nitakuja kupaka rangi siku mtakayomaliza kujenga
Kazi nishaichoka, kazi gani hiyo isiyoisha kwa zaidi ya nusu karne sasakujenga nchi hakuhitaji rangi zaidi ya kuchapa kazi
sasa ni wakati wa kazi,usipofanya kazi hauli na usipokula utakufaKazi nishaichoka, kazi gani hiyo isiyoisha kwa zaidi ya karne sasa
Utakufa wewe kwa hiyo kazi yenu ya kujenga taifa lisilokua, kila siku mwachimba msingi tusasa ni wakati wa kazi,usipofanya kazi hauli na usipokula utakufa