captain sparrow339
JF-Expert Member
- Sep 5, 2018
- 288
- 354
Nini ndio chanzo cha ugomviMrefu kama nini???
Nini ndio chanzo cha ugomviMrefu kama nini???
Nini ndio chanzo cha ugomvi
Mbabe ni pirate tuu anabaharini meri nyingi bahariniUgomvi ukiuanza watakiwa uwe mbabe
Baharini sio meli tu hata samaki wapoMbabe ni pirate tuu anabaharini meri nyingi baharini
Baharini si shwariMbabe ni pirate tuu anabaharini meri nyingi baharini
Shwariiiii......? Ilikiwa ni swali zamani., ila kwa sasa ni jawabuBaharini si shwari
Jawabu au jibu la swali hutegemea swali lenyewe.Shwariiiii......? Ilikiwa ni swali zamani., ila kwa sasa ni jawabu
Lenyewe limekaa kipashnakuJawabu au jibu la swali hutegemea swali lenyewe.
Kipashnaku anaweza kutumia mwanaume wa DarLenyewe limekaa kipashnaku
Dar jiji kongwe lisilo na mpinzaniKipashnaku anaweza kutumia mwanaume wa Dar
Mpinzani amechoshwa na yanayoendeleaDar jiji kongwe lisilo na mpinzani
Mpinzani amechoshwa na yanayoendeleaDar jiji kongwe lisilo na mpinzani
Yanayoendelea yana mwishoMpinzani amechoshwa na yanayoendelea
Mwisho wa chama kile unakujaYanayoendelea yana mwisho
Unakuja kusambaratisha chama tawalaMwisho wa chama kile unakuja
Tawala za mikoa ni masikitikoUnakuja kusambaratisha chama tawala
Masikitiko zaidi kwa wanaoongozwa na MuroTawala za mikoa ni masikitiko
Muro atafanya kila awezalo kupigania watu wakeMasikitiko zaidi kwa wanaoongozwa na Muro
Wake zake wamemshinda ataweza wananchiMuro atafanya kila awezalo kupigania watu wake
Wananchi wanataka maendeleo na sio porojoWake zake wamemshinda ataweza wananchi