Thad
JF-Expert Member
- Mar 14, 2017
- 13,402
- 31,652
Boss wa nchi hii anasemaje?Kufanyaje ni aina ya maswali ya kispai boss
Boss wa nchi hii anasemaje?Kufanyaje ni aina ya maswali ya kispai boss
anasemaje kuhusu nini, mambo ya ccm au serikaliBoss wa nchi hii anasemaje?
Anasemaje zaidi ya kusema kidumuBoss wa nchi hii anasemaje?
Serikali imekuwa kali kama mbogo aliye jeruhiwaanasemaje kuhusu nini, mambo ya ccm au serikali
Jeruhiwa vyote usijeruhiwe moyoSerikali imekuwa kali kama mbogo aliye jeruhiwa
Moyo wake mgumuJeruhiwa vyote usijeruhiwe moyo
Mgumu kama jiweMoyo wake mgumu
Jiwe la Geita lina thamani kuliko jiwe la SongeaMgumu kama jiwe
Songea kwa watani zanguJiwe la Geita lina thamani kuliko jiwe la Songea
Zangu zimekuja baada ya mh: kufikaSongea kwa watani zangu
Kufika kwako ndio furaha yetuZangu zimekuja baada ya mh: kufika
Yetu macho katika meri hiiKufika kwako ndio furaha yetu
Hii nchi ni yetu sote kwahiyo tugawane keki ya taifa pasu kwa pasuYetu macho katika meri hii
Pasu kwa pasu kama Mapacha rapper wa ArushaHii nchi ni yetu sote kwahiyo tugawane keki ya taifa pasu kwa pasu
Arusha jiji la kitaliiPasu kwa pasu kama Mapacha rapper wa Arusha
Kitalii huwezi kuiacha na Zanzibar pia na KirimanjaroArusha jiji la kitalii
Kilimanjaro inabebwa na ule mlima mrefu kuliko yote AfrikaKitalii huwezi kuiacha na Zanzibar pia na Kirimanjaro
Africa nzimaaaa.. au Africa mashariki peke?Kilimanjaro inabebwa na ule mlima mrefu kuliko yote Afrika
Peke yake Afrika nzima ndio mrefuAfrica nzimaaaa.. au Africa mashariki peke?
Mrefu kama nini???Peke yake Afrika nzima ndio mrefu