Crumpy Crumper
JF-Expert Member
- Dec 20, 2016
- 2,348
- 3,309
Nipatie farasi
Dume jeupe
Kingine unifanye malkia
wingereza??? ndo nn mkuu au mchapio ahahaaha
Wingereza hapana, nifanye malkia wa Tanzagiza
Tanzagiza ni kisiwa cha AmaniWingereza hapana, nifanye malkia wa Tanzagiza
Amani na upendo ni nguzo ya maisha
Maaninaa mimi ndo wa mwisho na mimi ndio mshindi.
wewe ni mtu wa ajabu umesema ni wa mwisho then uwe mshindi inawezekanaje wa mwisho akawa mshindiMshindi utakuwa wewe..!!