Thad
JF-Expert Member
- Mar 14, 2017
- 13,402
- 31,652
Mungu namcha
Mungu namcha
Ufanisii au ufanisi katika jambo nfilo lengoKulipwa zaid tena kwa wakati ili waweze kufanya kazi kwa ufanisii
Sent using Jamii Forums mobile app
Lengo bongo bwana, tunachoshana tu!
tu radhi kufanya kazi kwa bidii ili mradi maisha yaendeLengo bongo bwana, tunachoshana tu!
Yaende vipi wakati hakuna grisitu radhi kufanya kazi kwa bidii ili mradi maisha yaende
grisi mkuu baba alisema atatoa bhana hahahahahahhaYaende vipi wakati hakuna grisi
Hahahahahaaaa mtasubiri sana, hizo ni siasa siasanigrisi mkuu baba alisema atatoa bhana hahahahahahha
siasani kwa kweli maana sio kwa ugumu huuHahahahahaaaa mtasubiri sana, hizo ni siasa siasani
Huu mchezo hauhitaji hasirasiasani kwa kweli maana sio kwa ugumu huu
Hasira ukiileta utapata hasaraHuu mchezo hauhitaji hasira
Hasara haikwepekiHasira ukiileta utapata hasara
Tuoane wakati hatujapendana?
hatujapendana? bac tuanzishe mapenziTuoane wakati hatujapendana?
Mapenzi bongo? Tutachoshana bure
bure kivipi, ufungue moyo wako nipate nafasiMapenzi bongo? Tutachoshana bure