Zamaulid
JF-Expert Member
- May 25, 2009
- 19,955
- 16,006
Sana sana hawa wa mijini
Mambo gani?
Au na wewe ni mtoto
Watoto sina
Sina njaa hapa nimeshiba mnoWatoto sina
Mno? Utakuwa umevimbiwa weweSina njaa hapa nimeshiba mno
Wewe, unajua leo ni mnada wa makondaMno? Utakuwa umevimbiwa wewe
Makonda wa daladala au wa basi
Basi kumbe hufuatilii dunia inaendajeMakonda wa daladala au wa basi
Basi Tena maana kakana hayajuiMakonda wa daladala au wa basi
Inaendeleeaje Hari ya Mkuu wenu wa mkoa
Hayajui vipi wakati babake kamwambia akalipieBasi Tena maana kakana hayajui
Inaendaje dunia wakati haina miguu
Akalipie kwa njia ipi cheque ama cash?Hayajui vipi wakati babake kamwambia akalipie
Cash sio kiswahiliAkalipie kwa njia ipi cheque ama cash?