Thad
JF-Expert Member
- Mar 14, 2017
- 13,402
- 31,652
Mkoa wenye wanaume pendwaInaendeleeaje Hari ya Mkuu wenu wa mkoa
Mkoa wenye wanaume pendwaInaendeleeaje Hari ya Mkuu wenu wa mkoa
Shule ya secondary Mtakuja
Mtakuja hapa na kupoteza muda tu, nilishawaambia Mimi ndio mshindi wenu alietabiriwa na manabii. ChefuuuShule ya secondary Mtakuja
Chefuuu au kichefuchefu?Mtakuja hapa na kupoteza muda tu, nilishawaambia Mimi ndio mshindi wenu alietabiriwa na manabii. Chefuuu![]()
![]()
Sent using Jamii Forums mobile app
Kutapika ni dalili ya mchafuko wa tumbo
Halitosheki kama kaburi
Kaburi la Kanumba liliezekwa na ZegeHalitosheki kama kaburi
Zege halilaliKaburi la Kanumba liliezekwa na Zege
Kuogwa maji baridi hutokea kwa nadra
Kwa nadra saana yaani hutokea mara moja kwa mwakaKuogwa maji baridi hutokea kwa nadra
Nioe mimi