Shadeeya
JF-Expert Member
- Mar 12, 2014
- 51,106
- 122,492
Azam Tv habari zao mpaka uwe na App yao nje ya hapo ni mwendo wa movie pekee
Azam Tv habari zao mpaka uwe na App yao nje ya hapo ni mwendo wa movie pekee
Simba ndio machampioni wa soka hapa nchini na ndio dume lenuMbumbumbu siku zote ni Watani zangu mashabiki wa Simba.
Lenu lipi mpaka sasaSimba ndio machampioni wa soka hapa nchini na ndio dume lenu
Jokati jojoWilaya ya kisarawe
Mpaka sasa tumeshajihakikishia ubingwa wa Bara baada ya kuweka kambi Uturuki kwa mafanikioLenu lipi mpaka sasa
Mafanikio yapi hayo mliyapata wakati wa hiyo kambi SestenMpaka sasa tumeshajihakikishia ubingwa wa Bara baada ya kuweka kambi Uturuki kwa mafanikio
Sesten anakuhakikishia hata kama Simba tulipoteza mechi ya majaribio lakini timu imetengeneza stamina kwa wachezaji na hata maelewanoMafanikio yapi hayo mliyapata wakati wa hiyo kambi Sesten
Melewano hasa ndani nyumba (mme na mke) ni muhimu sanaSesten anakuhakikishia hata kama Simba tulipoteza mechi ya majaribio lakini timu imetengeneza stamina kwa wachezaji na hata maelewano
Muhimu sana mke na mume kua wawazi katika mambo yanayohusu familia
Familia ni baba, mama na watoto ambayo huongozwa na babaMuhimu sana mke na mume kua wawazi katika mambo yanayohusu familia
Na baba anapaswa kuisimamia familia yake iwe na maadili mema
Usiku wa siku ya jumatano una game EPL?Madirishani ndio wezi wanatumia kama milango kuingia usiku
EPIC ni ligi pendwaUsiku wa siku ya jumatano una game EPL?
Sent from my SHV-E330K using Tapatalk