GREAT NAME
JF-Expert Member
- Aug 31, 2016
- 1,078
- 1,722
jiwe walilolikataa waashi limekuwa jiwe kuu la pembeniukoje wewe kama jiwe!!
jiwe walilolikataa waashi limekuwa jiwe kuu la pembeniukoje wewe kama jiwe!!
Pembeni wako wengijiwe walilolikataa waashi limekuwa jiwe kuu la pembeni
Wengi wanafiki,wanakuchekea usoni kisogoni wanakesma.Pembeni wako wengi
Sivyo ndivyo kumbe ndivyo sivyo.Wanakusema unavyo peleka mambo ndivyo sivyo!
Utamu wa muwa upo katikatiPembeni ndiko kuna utamu
Katikati ya ndugu,jamaa na marafikiUtamu wa muwa upo katikati
Hizi Zama za kidigitaliMarafiki ni wanafiki siku hizi
Tumezoea watu Wana like na kuquote kwanza kabla ya commentDigitali kwangu haifai bora analogi tu
Comment yangu naomba aisome mama mkuu wa wilayaTumezoea watu Wana like na kuquote kwanza kabla ya comment