Mtu Tajiri
Senior Member
- Sep 30, 2016
- 150
- 180
Ulipe usije ukatupwa KorokoroniDeni ukikopa lazima ulipe
Ulipe usije ukatupwa KorokoroniDeni ukikopa lazima ulipe
Korokoroni si kuzuli kabisa ndugu yangu, watu wanatolewa menoUlipe usije ukatupwa Korokoroni
Meno ni kitafunio cha chakulaKorokoroni si kuzuli kabisa ndugu yangu, watu wanatolewa meno
Kutisha mtu mkubwa Ni ujaisri na uthubutuMeno ya ngiri huwa yako nje, humfanya mnyama huyu kutisha
Dar ndio mji unaouziwa muhindi wa kuchoma kipande ukipakiwa rangi na chumviuthubutu ni kusafiri na sato kwa bus kuja nao dar.
Mussa tamaa ya ngono ilimponza udenda ulimtoka mithili ya mzoga kwa fisi.
Fisi ni msafisha mizoga kama tingatingaMussa tamaa ya ngono ilimponza udenda ulimtoka mithili ya mzoga kwa fisi.
Sent using Jamii Forums mobile app
Mbumbumbu siku zote ni Watani zangu mashabiki wa Simba.
Simba naona mwaka huu watakatwa mikia na yanga au azamMbumbumbu siku zote ni Watani zangu mashabiki wa Simba.