dingihimself
JF-Expert Member
- Jan 9, 2016
- 9,802
- 20,296
Hivyo yatupasa tushukuru kwa kila jamboNini kimekufanya uulize hivyo?
Hivyo yatupasa tushukuru kwa kila jamboNini kimekufanya uulize hivyo?
Jambo jema sawa, hivi jambo baya utashukuru nini!Hivyo yatupasa tushukuru kwa kila jambo
Tanzania au Tanganjia?nini kinaendelea Tanzania?
Tanganjia nadhani hiyo itakuwa ni njia ya kwenda Tanga.Tanzania au Tanganjia?
Tanga RahaTanganjia nadhani hiyo itakuwa ni njia ya kwenda Tanga.
Raha kweli, hapo Hajar umenena. Waja leo waondoka leo...Tanga Raha
"Waja leo waondoka leo" ilikuwa zamani siku hizi wanasema waja leo kurudi majaliwa.Raha kweli, hapo Hajar umenena. Waja leo waondoka leo...
Majaaliwa kumbe, basi mimi niko ya kizamani"Waja leo waondoka leo" ilikuwa zamani siku hizi wanasema waja leo kurudi majaliwa.
Majariwa kassim huyu huyuu!!!"Waja leo waondoka leo" ilikuwa zamani siku hizi wanasema waja leo kurudi majaliwa.
Huyuu na yuleMajariwa kassim huyu huyuu!!!
Yule na huyu wote kurudi kwao majaaliwaHuyuu na yule
Majaaliwa ndio Waziri MkuuYule na huyu wote kurudi kwao majaaliwa
Mkuu nimekupataMajaaliwa ndio Waziri Mkuu
Nimekupata piaMkuu nimekupata
Pia alimuomba sadaka leoNimekupata pia
Leo ni mwisho wa Wiki.Pia alimuomba sadaka leo
Wiki pedia?Leo ni mwisho wa Wiki.
Pedia ndio nini?Wiki pedia?
Nini sababu ya kuuliza swali Hilo?Pedia ndio nini?