The Illicit Mc
JF-Expert Member
- Jan 21, 2018
- 469
- 642
Ipi Tena ya nne?Nne tena ipi na ipi
Ipi Tena ya nne?Nne tena ipi na ipi
Ya nne mie pia siijui.Ipi Tena ya nne?
Sijui kutongoza.Ya nne mie pia siijui.
Kutongoza wanafunzi ni kujitaftia BalaaSijui kutongoza.
Balaa ni pale unapotia mtoto mimba.Kutongoza wanafunzi ni kujitaftia Balaa
Mimba si Ugonjwa,Wanawake waache WogaBalaa ni pale unapotia mtoto mimba.
Woga ni dhambi isiyo sameheka mbinguni mpaka kuzimu.Mimba si Ugonjwa,Wanawake waache Woga
Kuzimu kwa mujibu wa Vitabu vya dini ni hatari tupuWoga ni dhambi isiyo sameheka mbinguni mpaka kuzimu.
Tupu ya mzazi ukiitazama huwa ni Nuhu-hamu laana.Kuzimu kwa mujibu wa Vitabu vya dini ni hatari tupu
Lissu alishambuliwa bila huruma hata kidogo na watu wasiojulikana
Wasiojulikana wanasisitiza tena hili suala la Lisu lisijadiliwe la sivyo watakutumbua matumbo na utapata taabu saanaLissu alishambuliwa bila huruma hata kidogo na watu wasiojulikana
tabu sana wapi, ni kazima tumjadili lissu
Lissu mbunge
Mbunge ni mtumishi wa wananchi waliomchaguaLissu mbunge
Waliomchagua Trump Ni Urusi kwa kuingiria uchaguzi au Marekani wenyewe?Mbunge ni mtumishi wa wananchi waliomchagua
Wenyewe Urusi wamekataa katukatu kuhusika na hizo NjamaWaliomchagua Trump Ni Urusi kwa kuingiria uchaguzi au Marekani wenyewe?
Kwetu sisi hapa Tanzania ni utaratibu uliozoeleleka, lakini kwa DRC si kawaida na ndiyo maana anapewa hongera.Wenyewe Urusi wamekataa katukatu kuhusika na hizo Njama
Njama za mjinga hugunduliwa na mwerevuWenyewe Urusi wamekataa katukatu kuhusika na hizo Njama