Wa mwisho ndiyo mshindi

Wa mwisho ndiyo mshindi

Tanzania, wala si msanii jamani
Kama ni uzalendo tuanze na utalii wa ndani
Nchi ambayo sista du hajui Emcee ni nani
Field Marshall nawachora ma-MP vitani
Nijenge nikujenge, tujenge na tupendane
Siyo una-like fan page yangu ili unitukane
Au nifanye kama Dimpoz nadai
Nikate mauno, Rich Mavoko, bolingo nangai
Nchi ambayo wawekezaji imewabidi kusanda
Mashoga kibao, Bongo umagharibi umetanda
Sababu ya joto, hasira inazidi kupanda
"Stay Positive" aliniambia Fareed Kubanda
Karibuni Tanzania, Wazungu, Walatino
Wa-Dutch, Wazulu, Waarabu, Wafilipino
Toka Ukonga ya Ilala, Temeke wapi Kino
Na ukitaka Ganja kali ni Sinza kwa Cappacino

Sent from my SM-J200H using JamiiForums mobile app
 
Cappacino ndo nchi gani!
 
Back
Top Bottom