Mwifwa
JF-Expert Member
- Apr 3, 2017
- 48,718
- 126,563
Mapema sana kesho nitaamkaWamelala mapema
Mapema sana kesho nitaamkaWamelala mapema
Nitaamka nikasake dooMapema sana kesho nitaamka
Door yangu imeharibikaNitaamka nikasake doo
Imeharibika kama uwanja wa mbeya unaodekiwa kwa godoroDoor yangu imeharibika
Godoro la Tanform Dodoma kwa usingizi mororo hadi kaka mjukuu atakuja kulitumiaImeharibika kama uwanja wa mbeya unaodekiwa kwa godoro
Kulitumia jukwaa letu kutangaza godoro haipendezi.Godoro la Tanform Dodoma kwa usingizi mororo hadi kaka mjukuu atakuja kulitumia
Haipendezi sana kuona watu wanaukimbia huu uzi kisha wameshindwa kushindanaKulitumia jukwaa letu kutangaza godoro haipendezi.
Haipendezi kutokupokea notification za jfKulitumia jukwaa letu kutangaza godoro haipendezi.
Jf ni ufupisho wa jamii forumHaipendezi kutokupokea notification za jf
Forum imepoa sikuiziJf ni ufupisho wa jamii forum
Forum imepoa sikuizi
Mvuto wa kitu ni muonekano wa surasikuizi imeingiliwa na wasiojulikana ili ipoteze mvuto
Sura sikuhizi zinatengenezwa bora enzi za mwalimuMvuto wa kitu ni muonekano wa sura
Mwalimu hatakiwi kulipwa chini ya milioni 1Sura sikuhizi zinatengenezwa bora enzi za mwalimu
Million1 labda sio hapa tanzaniaMwalimu hatakiwi kulipwa chini ya milioni 1
Wamesoma magazeti ya udakuTanzania RAIA wake wote wamesoma
Chekechea enzi zetu hazikuwepo!Msingi wa elimu unaanzia chekechea