kidaganda
JF-Expert Member
- Aug 26, 2013
- 2,997
- 2,577
Mbinguni tutawaona ndg zetu waliotangulia.Duniani ni sehemu na njia ya kwenda mbinguni
Mbinguni tutawaona ndg zetu waliotangulia.Duniani ni sehemu na njia ya kwenda mbinguni
Waliotangulia wapi, uwr unalike kwanza kabla ya kureplyMbinguni tutawaona ndg zetu waliotangulia.
Kureply ndio nachofanya kulike demu wangu hataki.Waliotangulia wapi, uwr unalike kwanza kabla ya kureply
Hataki kukuheshimu huyo hafai achana nayeKureply ndio nachofanya kulike demu wangu hataki.
Naye ana nafasi kubwa kwangu.Hataki kukuheshimu huyo hafai achana naye
Duniani Kuna wengi washenzi na madkiteta.Haki zao watazipata mbinguni na si duniani.
Madkiteka yapo kila pande za DuniaDuniani Kuna wengi washenzi na madkiteta.
Madikiteta wote wa zama hizi wachovu tu.Duniani Kuna wengi washenzi na madkiteta.
Tutausitisha huu mchezo maana hauna mshindiMadikiteta wote wa zama hizi wachovu tu.
Mshindi ilikuwa sabuni bora sana povu kidogo bao nyingi.Tutausitisha huu mchezo maana hauna mshindi
Nyingine siilewi kabisa maana imekuja kwa staili mpyaMshindi ilikuwa sabuni bora sana povu kidogo bao nyingi.
Staili mpya ni kulipa faini kukwepa kwenda jera kama masogange.Nyingine siilewi kabisa maana imekuja kwa staili mpya
Masongange yule mwenye wowowo kubwa?Staili mpya ni kulipa faini kukwepa kwenda jera kama masogange.
Wowowo kubwa linatunza uchafu sana usipochamba vizuri.Masongange yule mwenye wowowo kubwa?
Vizuri sana nimekuelewa, nitakuuliza tena baadayeWowowo kubwa linatunza uchafu sana usipochamba vizuri.
Badaye hata mimi naenda kuoga kwa sabuni ya mshindi.Vizuri sana nimekuelewa, nitakuuliza tena baadaye
Mshindi ni...Badaye hata mimi naenda kuoga kwa sabuni ya mshindi.
Mshindi ni kijaniMshindi ni...
Kijani au kiuaMshindi ni kijani
Kiua hakiwezi fanya uchavushaji mpk nyuki.Kijani au kiua