Night Watch
JF-Expert Member
- Apr 4, 2017
- 2,102
- 2,152
Nyuki wa mashine hana madhara
Madhara ya pombe ni makubwa mnoNyuki wa mashine hana madhara
Mnofu wa paja LA kuku n mtamu sanaMadhara ya pombe ni makubwa mno
Sana sana ukila na waliMnofu wa paja LA kuku n mtamu sana
Wali nazi au wali nini?Sana sana ukila na wali
Nini sasa we we kijanaWali nazi au wali nini?
Kijana mwenzio kule chit chat kampa demu mimbaNini sasa we we kijana
Mimba na mapenzi ni kama ccm na ufisadiKijana mwenzio kule chit chat kampa demu mimba
Salama huko nduguMawazo ya balimi siku zote hayajawahi kuacha kada wa ccm salama.
Mimba ya mapacha au !!Kijana mwenzio kule chit chat kampa demu mimba
Ndugu sio lazima uzaliwe nayeSalama huko ndugu
Ndugu sio lazima uzaliwe naye
Naye kivipi tena ?!Ndugu sio lazima uzaliwe naye
Ua tuachane tu na hayoMimba ya mapacha au !!
Hayo yapi mkuuUa tuachane tu na hayo
Mkuu wa mkoa siku hizi yupo kimyaHayo yapi mkuu
Kimya kwa sababu hana jipya.Mkuu wa mkoa siku hizi yupo kimya
Jipya mbona lipoKimya kwa sababu hana jipya.