Prince Dos Santos
JF-Expert Member
- Nov 23, 2016
- 1,047
- 1,326
Tena bwana yule alisema unawashwawashwa ........Mbavuni ndo wapi tena
Tena bwana yule alisema unawashwawashwa ........Mbavuni ndo wapi tena
Unawashwawashwa ni kauli ya kichocheziTena bwana yule alisema unawashwawashwa ........
Kichochezi ni Chama cha kaki na Magwanda yake....Unawashwawashwa ni kauli ya kichochezi
Yake yana rangi mbayaKichochezi ni Chama cha kaki na Magwanda yake....
Mbaya sana huyu Prince Bashite , eti anasema atakata watu miguu na vichwa hiyo 26 /04 /2017.........Yake yana rangi mbaya
2017 ilipita na mambo yakeMbaya sana huyu Prince Bashite , eti anasema atakata watu miguu na vichwa hiyo 26 /04 /2017.........
Yake familia huko Kolomije wanamuona mtu wa maana sana wakati waTanzania wamechoshwa na genge lake la wasiojulikana2017 ilipita na mambo yake
Wasiojulikana watakuteka punguza uchocheziYake familia huko Kolomije wanamuona mtu wa maana sana wakati waTanzania wamechoshwa na genge lake la wasiojulikana
Uchochezi wa kwenye mitandao ya kijamiii unawasumbua sana viongozi wa serikali ya TanzaniaWasiojulikana watakuteka punguza uchochezi
Tanzania yangu inaharibiwa na watu wachache wasiokuwa wazalendoUchochezi wa kwenye mitandao ya kijamiii unawasumbua sana viongozi wa serikali ya Tanzania
Ubwabwa samaki na kachumbari lazima ujing'ate vidoleJamvini kunawageni,wageni wapenda ubwabwa.
Wazalendo katika nchi hii ni wachache sana kama punje ya mtama kwenye mchangaTanzania yangu inaharibiwa na watu wachache wasiokuwa wazalendo
Mchanga huo unaweza kuutumia kwenye mambo ya msingiWazalendo katika nchi hii ni wachache sana kama punje ya matama kwenye mchanga
Msingi wa maendeleo katika Taifa hili ni upi?Mchanga huo unaweza kuutumia kwenye mambo ya msingi
Ni upi zaidi ya kufanya kazi kwa bidiiMsingi wa maendeleo katika Taifa hili ni upi?
Bidii yake cha mdeko humu jamvini ilimfanya ampate mshana jrNi upi zaidi ya kufanya kazi kwa bidii
bidii hiyo ss hivi imekua haipo maana watu wanafanya kazi kwa hofuNi upi zaidi ya kufanya kazi kwa bidii
Wazalendo wanapatikana lakini wana nidhamu ya uwogaTanzania yangu inaharibiwa na watu wachache wasiokuwa wazalendo
Vidole vyako mbn vifupi sana MwifwaUbwabwa samaki na kachumbari lazima ujing'ate vidole
Uwoga wetu watanzani ndio unatufanya tuonewe na wakubwaWazalendo wanapatikana lakini wana nidhamu ya uwoga