Muzine
JF-Expert Member
- May 4, 2017
- 32,366
- 60,480
Mshana jr ndo mwanaume pekeee anayenitesa kwenye hii dunia sijawahi pata penzi tamu kama analonipa MgangaBidii yake cha mdeko humu jamvini ilimfanya ampate mshana jr
Mshana jr ndo mwanaume pekeee anayenitesa kwenye hii dunia sijawahi pata penzi tamu kama analonipa MgangaBidii yake cha mdeko humu jamvini ilimfanya ampate mshana jr
Wakubwa walikuwa wakijiita jalala enzi zileUwoga wetu watanzani ndio unatufanya tuonewe na wakubwa
Hofu ya nn Mr miller fanya kitu roho inapenda kwenye hii Dunia.bidii hiyo ss hivi imekua haipo maana watu wanafanya kazi kwa hofu
Zile kule kuni ulizoniagizaWakubwa walikuwa wakijiita jalala enzi zile
Ulizoniagiza wewe nimekosaZile kule kuni ulizoniagiza
Nimekosa kupambana hapa kwa muda mrefu kidogo, nisingesitisha ningekuwa nishashindaUlizoniagiza wewe nimekosa
Nishashinda mitego mingi ya shetani kwakuwa Mungu yupo pamoja na mmNimekosa kupambana hapa kwa muda mrefu kidogo, nisingesitisha ningekuwa nishashinda
Mimi ni kijana ninayepambana kujenga nchi ya viwandaNishashinda mitego mingi ya shetani kwakuwa Mungu yupo pamoja na mm
Viwanda vya aina gani?Mimi ni kijana ninayepambana kujenga nchi ya viwanda
"Gani" neno gumu kulianzishia sentesi?Viwanda vya aina gani?
sentesi ya kiswahili?"Gani" neno gumu kulianzishia sentesi?
Kiswahili ni lugha ya Taifa la Tanzaniasentesi ya kiswahili?
Tanzania aina lugha maalum bwanaKiswahili ni lugha ya Taifa la Tanzania
Bwana eeeh, mnipe ushindi sasaTanzania aina lugha maalum bwana
hapa ukitaka kuwa wa mwisho na mshindi hakikisha neno lako la mwisho wa sentesi haliwezi kuanza mwanzo wa sentesi.Wa mwisho ndo mimi hapa![]()
![]()
Sentensi zenyewe haziishihapa ukitaka kuwa wa mwisho na mshindi hakikisha neno lako la mwisho wa sentesi haliwezi kuanza mwanzo wa sentesi.
Haziishi na hazita kaa ziishageSentensi zenyewe haziishi
Ziishage ndo lugha gani tenaHaziishi na hazita kaa ziishage