Wa mwisho ndiyo mshindi

Wa mwisho ndiyo mshindi

Mkuu pitia vzuri nyuzi za wengine huo uzi upo humu na umeshakwenda mbali sana sijui tu jinsi ya kuunganisha hapa lakini upo vema mod wakakupeleke huko directly ukaendelea kukoment!
 
*Let us have funny*

Uzi huu ni maalumu kwaajiri ya kutunga sentensi kwa kuanza na neno la mwisho la mtu alietangulia kuweka sentensi yake

Mfano ..
Member A: JF kuna raha
Member B; Raha jipe mwenyewe
Member C; Mwenyewe naweza kufanya......

Unaruhusiwa kurudia mara nyingi uwezavyo
pole mkuu wameshauunganisha
 
Mkuu pitia vzuri nyuzi za wengine huo uzi upo humu na umeshakwenda mbali sana sijui tu jinsi ya kuunganisha hapa lakini upo vema mod wakakupeleke huko directly ukaendelea kukoment!
Nikweli boss sikujua kama kuna uzi kama huu tena... samahanini
 
Back
Top Bottom