Alisina
JF-Expert Member
- Aug 9, 2016
- 4,275
- 4,607
Lake jina nimelisahau bwana yule.mkuu wa majeshi ya TZ anaitwa nani hivi jina lake?
Lake jina nimelisahau bwana yule.mkuu wa majeshi ya TZ anaitwa nani hivi jina lake?
yule atakuwa mtu mpole labda ndio maana sijalisikia jina lake hadi sasa.Lake jina nimelisahau bwana yule.
Sasa wanapanga mbinu za kuwakamata mabepari.yule atakuwa mtu mpole labda ndio maana sijalisikia jina lake hadi sasa.
mabepari gani hao?Sasa wanapanga mbinu za kuwakamata mabepari.
Hao wameinama,wameinuka wanaona haya yote wamefanya wao.mabepari gani hao?
Wao wakina nani?Hao wameinama,wameinuka wanaona haya yote wamefanya wao.
Nani alipandisha twiga ndege.Wao wakina nani?
ndege za kiarabu inasemekana lkn labda twiga walipanda wenyewe.Nani alipandisha twiga ndege.
Wenyewe twiga ukiwauliza ati hawajui nani alifanya ushenzi.ndege za kiarabu inasemekana lkn labda twiga walipanda wenyewe.
Ushenzi ni kitu kibaya sanaWenyewe twiga ukiwauliza ati hawajui nani alifanya ushenzi.
Sana kabisa hata Mungu hapendi.Ushenzi ni kitu kibaya sana
Hapendi mtu afanyiwe ubayaSana kabisa hata Mungu hapendi.
Ubaya unaofanywa na viongozi wetu ni aibu.Hapendi mtu afanyiwe ubaya
Aibu sanaUbaya unaofanywa na viongozi wetu ni aibu.
Sana haswa aibu yetu aibu yao, aibu yao wenyewe.Aibu sana
Wenyewe wanakula kuku sisi tunakula miguuSana haswa aibu yetu aibu yao, aibu yao wenyewe.
Miguu ya kuku na supu ya mapupu Ndio zetu wa uswazi.Wenyewe wanakula kuku sisi tunakula miguu
Miguu ya kuku na supu ya mapupu Ndio zetu wa uswazi.
Mashoga nawatolea mbavuni.Uswazi kwa wagumu lakini ndiko pia wapatkanako mashoga
Mbavuni ndo wapi tenaMashoga nawatolea mbavuni.