Alisina
JF-Expert Member
- Aug 9, 2016
- 4,275
- 4,607
Mange Ndio nani huyoVibaya kama mdomo wa Mange,?
Mange Ndio nani huyoVibaya kama mdomo wa Mange,?
huyo ni dada mkuu wa tanzania, mkuu upo turiani??Mange Ndio nani huyo
Turiani ya moro...? Hapana nipo ushetuhuyo ni dada mkuu wa tanzania, mkuu upo turiani??
ushetu napo kuna turiani?Turiani ya moro...? Hapana nipo ushetu
Turiani Kuna kiwanda cha mtibwa sugar.ushetu napo kuna turiani?
sugar ipo, ila ajabu wenyeji hatutumii ya mtibwa, " karibu sana mtibwaTuriani Kuna kiwanda cha mtibwa sugar.
Mtibwa nina Rafiki yangu amedai ataniposa Dada yake mrembo.sugar ipo, ila ajabu wenyeji hatutumii ya mtibwa, " karibu sana mtibwa
Mrembo gani anaweza kuendesha Scania?Mtibwa nina Rafiki yangu amedai ataniposa Dada yake mrembo.
Scania ni gari ..?Mrembo gani anaweza kuendesha Scania?
? Mkongojo wa babu.
babu yangu alikua mtu wa stori sana...akikaa na vijana sehemu wanaita jobless kona? Mkongojo wa babu.
Kona bar kunamrembo alinitunuku vitabubabu yangu alikua mtu wa stori sana...akikaa na vijana sehemu wanaita jobless kona
Vitabu gani hivyo chiefKona bar kunamrembo alinitunuku vitabu
Chief ilikuwa ni Why men love bitches.Vitabu gani hivyo chief
b*tches ain't loyalChief ilikuwa ni Why men love bitches.
Bado watoto wengi wanagawa jicho.Na bado
Loyal chris brown ft lili wyneb*tches ain't loyal
Wayne kapotea kwenye gameLoyal chris brown ft lili wyne