ledada
JF-Expert Member
- Oct 4, 2015
- 17,460
- 67,428
Sheria ziliwekwa ili zivunjweFake ni batiri na kosa kisheria
Sheria ziliwekwa ili zivunjweFake ni batiri na kosa kisheria
Zivunjwe tuu maana zimewekwa Katika hifadhi ya barabaraSheria ziliwekwa ili zivunjwe
Barabara nyingi zinazounganisha mikoa zimejengwa kwa kiwango cha lamiZivunjwe tuu maana zimewekwa Katika hifadhi ya barabara
Mawazo yakizidi huchosha na kudhoofisha akili.lock haitoki bar ladba upunguze mawazo
Akili ya kuambiwa changanya na yakoMawazo yakizidi huchosha na kudhoofisha akili.
Yako macho ni makubwa kiasi|b]Akili ya kuambiwa changanya na yako
Kiasi kikubwa sana cha pesa kilipotea kwenye sakata la ESCROWYako macho ni makubwa kiasi
Visiwani lazima kwenda kwa botiZanzibar ndo tanzania visiwani
Boti mara nyingi hupita kwenye majiVisiwani lazima kwenda kwa boti
Maji ya bahari mazito halafu yanatishaBoti mara nyingi hupita kwenye maji
Yanatisha kama ukimwiMaji ya bahari mazito halafu yanatisha
Ukimwi upo ila kuna vijana humu jf wanasema haupoYanatisha kama ukimwi
Haupo maana sijawahi kuuonaUkimwi upo ila kuna vijana humu jf wanasema haupo
Ukiuona utaupendaHaupo maana sijawahi kuuona
Utaupenda mwandiko wangu ukija huku chembaUkiuona utaupenda
Chemba naja sasa hiviUtaupenda mwandiko wangu ukija huku chemba
Hivi mbona umechelewa kiasi hicho?Chemba naja sasa hivi