positive is normal
JF-Expert Member
- Dec 25, 2017
- 520
- 978
Nikuelekeze ili uwahi kufika kosadoWapi nikuelekeze
Nikuelekeze ili uwahi kufika kosadoWapi nikuelekeze
Kosado ndo wapi?Nikuelekeze ili uwahi kufika kosado
Wapi ulipatembelea mchanaKosado ndo wapi?
Mchana nilikuepo tu nyumbaniWapi ulipatembelea mchana
Nyumbani sijakuona ulikuwa umejificha wapi?Mchana nilikuepo tu nyumbani
wapi tena atakuwa alienda?Nyumbani sijakuona ulikuwa umejificha wapi?
Wapi wewe ulikuwa?sikukuona kabisa maeneo yaleNyumbani sijakuona ulikuwa umejificha wapi?
Yale uliogopa mwenyewe ukakimbiaWapi wewe ulikuwa?sikukuona kabisa maeneo yale
Ukanikimbia sio vzuriYale uliogopa mwenyewe ukakimbia
Vizuri unielewe ndio itakuwa bora zaidiUkanikimbia sio vzuri
Zaidi tuombe MunguVizuri unielewe ndio itakuwa bora zaidi
Mungu ni mwema anagawa riziki kwa kila mja wakeZaidi tuombe Mungu
Wake kwa waume wanalia vyuma kukazaMungu ni mwema anagawa riziki kwa kila mja wake
Kukazana mida hii ni raha sanaWake kwa waume wanalia vyuma kukaza
Sana ukiwwa na mwenzioKukazana mida hii ni raha sana
Mwenzio yuko wapi sasa hivi?Sana ukiwwa na mwenzio
Hivi sasa ni saa moja kasoroMwenzio yuko wapi sasa hivi?
Kasoro zetu naomba tuzimalize, sio vyema kukaa na vinyongo mioyoni mwetuHivi sasa ni saa moja kasoro
Huu uzi siulewagi kabisaKasoro zetu naomba tuzimalize, sio vyema kukaa na vinyongo mioyoni mwetu
Kabisa yaani nimekuona ulivyoingia kwa speed bila kufuata utaratibu wa humu.Huu uzi siulewagi kabisa