Hata sijakuelewa utanielekeza sehemu nyingine tukikutana mana huwa nakuja nachungulia na kuondoka yaan siulewiKabisa yaani nimekuona ulivyoingia kwa speed bila kufuata utaratibu wa humu.
Shiriki mchezo kwa kuandika sentesi kwa kuanza na neno la mwisho kwenye post ya mwisho kwenye huu uzi.
Siuelewi kabisa uamuzi wako Shunie, wa kuwa wachungulia na kuondokaHata sijakuelewa utanielekeza sehemu nyingine tukikutana mana huwa nakuja nachungulia na kuondoka yaan siulewi
Kuondoka kwa Mwifwa ni Ku Shunie PmSiuelewi kabisa uamuzi wako Shunie, wa kuwa wachungulia na kuondoka
Kula wanakula tuu,sema uko njee ya madasana sana utaishia kunawa bila kula
Madawa ya kuongeza genye ni aina gani?Kula wanakula tuu,sema uko njee ya mada
Gani tena!!! Aliuliza kwa mshangaoMadawa ya kuongeza genye ni aina gani?
Mshangao wangu ni ishara tosha kabisa kuwa nitaukwaa ushindi muda wowoteGani tena!!! Aliuliza kwa mshangao
Naondoka sababu sielewi jamanSiuelewi kabisa uamuzi wako Shunie, wa kuwa wachungulia na kuondoka
Jamani Shunie nae kaelewa somoNaondoka sababu sielewi jaman
Wowote ule ulokuja ni Ujumbe wa hovyooMshangao wangu ni ishara tosha kabisa kuwa nitaukwaa ushindi muda wowote
Somo ni rahisi sana kila mtu analielewaJamani Shunie nae kaelewa somo
Somo nimelielewa kidogo Mwifwa asanteJamani Shunie nae kaelewa somo
Analielewa sana hilo suala kadadaSomo ni rahisi sana kila mtu analielewa
Asante sana mdau wangu, hujawahi kuniangushaSomo nimelielewa kidogo Mwifwa asante
Asante ni neno la hekima sanaSomo nimelielewa kidogo Mwifwa asante
Sana sana uambiwe na mtu mwenye hekima utafurahi na kujiona upo vizuriAsante ni neno la hekima sana
Vizuriii pia ni kuitikia asante yake,ila ww uko kimyaSana sana uambiwe na mtu mwenye hekima utafurahi na kujiona upo vizuri