mliponikaushia? kukukausha nini?Vizuri sana mliponikaushia
mliponikaushia? kukukausha nini?Vizuri sana mliponikaushia
Ninj maana ya FUSO?mliponikaushia? kukukausha nini?
FUSO gari la Mkaa, likishawaka kaa mbaliNinj maana ya FUSO?
Mbali sana kutoka Magogoni hadi hapaFUSO gari la Mkaa, likishawaka kaa mbali
Hapa nilipo ni kwa neema zake.Mbali sana kutoka Magogoni hadi hapa
neema zake nani, kuna za mola na yule muovu kivurugeHapa nilipo ni kwa neema zake.
Zakeo ni jina la Mwalimu wanguHapa nilipo ni kwa neema zake.
wangu ni neno gumu kuanzisha sentesiZakeo ni jina la Mwalimu wangu

Sentesi ni neno gani?wangu ni neno gumu kuanzisha sentesi![]()
Mgagani ni mboga chungu sanaSentesi ni neno gani?
Sana uipike bila kuweka mafuta na viungoMgagani ni mboga chungu sana
Viungo vya pilauSana uipike bila kuweka mafuta na viungo
Pilau ya nyama ya kuku wa kienyejiViungo vya pilau
Kienyeji kienyeji tu wakaondoka zaoPilau ya nyama ya kuku wa kienyeji
Zao la korosho linalipa njoo Lindi na Mtwara tulilimeKienyeji kienyeji tu wakaondoka zao
Pilau nilikula kwa mara mwisho mwaka janaViungo vya pilau
Tulilime tuu japo viwanda badoZao la korosho linalipa njoo Lindi na Mtwara tulilime
Jana ilikuwa Kesho ya juziPilau nilikula kwa mara mwisho mwaka jana
Bado nakula nisubiri hapoTulilime tuu japo viwanda bado
Hapo si sehemu nzuri... Njoo hukuBado nakula nisubiri hapo