Mwifwa
JF-Expert Member
- Apr 3, 2017
- 48,718
- 126,564
Kimya kingi sana kimetanda miongoni mwa wa shiriki wa huu mtanangeVizuriii pia ni kuitikia asante yake,ila ww uko kimya
Kimya kingi sana kimetanda miongoni mwa wa shiriki wa huu mtanangeVizuriii pia ni kuitikia asante yake,ila ww uko kimya
Mtanange umekuwa mgumu,na mm naenda mazoeziniKimya kingi sana kimetanda miongoni mwa wa shiriki wa huu mtanange
Kukuangusha huwa najitahidi nisishindwwAsante sana mdau wangu, hujawahi kuniangusha
Mazoezi ni mazuri kwa afya tutaonana siku nyingineMtanange umekuwa mgumu,na mm naenda mazoezini
Nisishindwe kukumbusha ili uendelee kunipa stori murua kabisa za vijiweniKukuangusha huwa najitahidi nisishindww
Vijiweni sasa hivi hakuna watu kila mtu anapambana na hali yakeNisishindwe kukumbusha ili uendelee kunipa stori murua kabisa za vijiweni
Yake maarifa yamenifunza sana juu ya vitu nilivyokuwa sivijuiVijiweni sasa hivi hakuna watu kila mtu anapambana na hali yake
Sijui ni kwa nini huu mchezo hauishiYake maarifa yamenifunza sana juu ya vitu nilivyokuwa sivijui
Hauishii hapa ili tuwe tunaburudika kwa pamojaSijui ni kwa nini huu mchezo hauishi
Pamoja tuijenge nchi yetuHauishii hapa ili tuwe tunaburudika kwa pamoja
Yetu maslahi ni bora sana, tuungane tuyaimarishePamoja tuijenge nchi yetu
Tuimarishe uchumi wetu kwa kufanya kazi kama mkuu alivyosemaYetu maslahi ni bora sana, tuungane tuyaimarishe
Alivyosema yote hajayatekelezaTuimarishe uchumi wetu kwa kufanya kazi kama mkuu alivyosema
Hajayatekeleza sababu ya vidomo hovyo vyaoAlivyosema yote hajayatekeleza
Vyao siviwezi, bora nitafute vingineHajayatekeleza sababu ya vidomo hovyo vyao
Vingine utapata kama ukijiweka bidiiVyao siviwezi, bora nitafute vingine
Bidii yangu itanisaidia kushindaVingine utapata kama ukijiweka bidii
Kushida sio rahisi kama unavodhaniBidii yangu itanisaidia kushinda
Unavyodhani kuwa nitachoka kuchangia huu uzi, umejidanganya sanaKushida sio rahisi kama unavodhani
Sana maana nakujuaUnavyodhani kuwa nitachoka kuchangia huu uzi, umejidanganya sana