Mwifwa
JF-Expert Member
- Apr 3, 2017
- 48,718
- 126,564
Mwema nampenda sana ukimuona mfikishie salamuZaidi ya yote nawatakia wakati mwema
Mwema nampenda sana ukimuona mfikishie salamuZaidi ya yote nawatakia wakati mwema
Bwihi
kwa sababu gani mkuuMkuu andika sentensi kwa kuanza na neno la mwisho ya post ya mwishoBwihikwa sababu gani mkuu
Exactly.. Nachungulia tu halafu nahepaGhazwat hastahili kucheza huu mchezo maana sio mzoefu
Nahepa limetoholewa kutoka lugha gani?Exactly.. Nachungulia tu halafu nahepa
Ni lugha tu kwa mwambao wa Pwani. Kama kusema nachelea, kwahivyo kuhepa ni hali ya kukwepa kitu.Nahepa limetoholewa kutoka lugha gani?
Kitu nikikipenda lazima nikiulizie, nikihoji ili nikijueNi lugha tu kwa mwambao wa Pwani. Kama kusema nachelea, kwahivyo kuhepa ni hali ya kukwepa kitu.
Ukijua roho kwatu mwenyeweKitu nikikipenda lazima nikiulizie, nikihoji ili nikijue
Mwenyewe najua na wewe unajua piaUkijua roho kwatu mwenyewe
Pia toxic09 leo hayupoMwenyewe najua na wewe unajua pia
Hayupo huenda anafukizia mchepukoPia toxic09 leo hayupo
Mchepuko ni salama kwa afyaHayupo huenda anafukizia mchepuko
Afya yangu naijuwa mwenyeweMchepuko ni salama kwa afya
Kiazi muhogo na bamia ni tofauti eenh?Mwenyewe ni kiazi
Eenh kwema hukoKiazi muhogo na bamia ni tofauti eenh?
Huko kwema lakiniEenh kwema huko
Lakin wewe hulaliHuko kwema lakini
Silali sina usingiziLakin wewe hulali
Usingizi ooh pole yakoSilali sina usingizi