livafan
JF-Expert Member
- Oct 20, 2016
- 2,973
- 5,629
Fulan yawezekani kikawa ni kitu, mimi au asiyejulikanaGani ni neno linalotumika unapouliza swali kutaka kujua kitu fulani
Fulan yawezekani kikawa ni kitu, mimi au asiyejulikanaGani ni neno linalotumika unapouliza swali kutaka kujua kitu fulani
Asiyejulikana mpaka leo hajapatikana baada ya shambulio la Tundu LissuFulan yawezekani kikawa ni kitu, mimi au asiyejulikana
Lissu yupo Nchini Ubelgiji kwa matibabu zaidiAsiyejulikana mpaka leo hajapatikana baada ya shambulio la Tundu Lissu
Zaidi ya hapo risasi zote sasa zimetolewa mwilini mwake Tundu LissuLissu yupo Nchini Ubelgiji kwa matibabu zaidi
Lissu ameonesha ujasiri sana wa kupambana na anachokiamini kwa maslahi ya TaifaZaidi ya hapo risasi zote sasa zimetolewa mwilini mwake Tundu Lissu
Taifa la Tanzania wanainchi wake ni waoga sana katika kusimamia wanachokiaminiLissu ameonesha ujasiri sana wa kupambana na anachokiamini kwa maslahi ya Taifa
Wanachokiamini bila vitendo ni sawa na kazi bureTaifa la Tanzania wanainchi wake ni waoga sana katika kusimamia wanachokiamini
Bure endapo watu hatutokuwa na umojaWanachokiamini bila vitendo ni sawa na kazi bure
Umoja ni nguvuBure endapo watu hatutokuwa na umoja
Nguvu za kiume huongezeka kwa kula vyakula vizuri, matunda kwa wingiUmoja ni nguvu
Umoja ni ngao ya ushindiBure endapo watu hatutokuwa na umoja
Bure yani kitu cha bure epuka kama ukomaWanachokiamini bila vitendo ni sawa na kazi bure
Ushindi ni kushinda huu mchezoUmoja ni ngao ya ushindi
Mchezo huu nakutunuku kama mshindi ledadaUshindi ni kushinda huu mchezo
Ledada mie au mwinginee?Mchezo huu nakutunuku kama mshindi ledada
Mwinginee ndo umeandika lugha gani weweLedada mie au mwinginee?
Wewe kijana huwezi elewa mambo ya wazeeMwinginee ndo umeandika lugha gani wewe
Wazee wa fursa hawapitwi na jamboWewe kijana huwezi elewa mambo ya wazee
Jambo gani hilo? Nijuze na Mimi nipate utamuWazee wa fursa hawapitwi na jambo
Utamu ninaoupata kwa ninayempenda siwezi kuusema hapaJambo gani hilo? Nijuze na Mimi nipate utamu