ledada
JF-Expert Member
- Oct 4, 2015
- 17,460
- 67,428
Yakopi vizuri maneno yake ni mazuriUsingizi ooh pole yako
Yakopi vizuri maneno yake ni mazuriUsingizi ooh pole yako
Mazuri kama yapiYakopi vizuri maneno yake ni mazuri
Yapite tuMazuri kama yapi
Tutasalimiana pakipambazukaYapite tu
Pambazuka ndio kukucha kwa maana nyingine?Tutasalimiana pakipambazuka
Nyingine uliniambia utanitumia ila bado sijaiona, naisubiri ujuePambazuka ndio kukucha kwa maana nyingine?
ujue hatukukubaliana ni wapi natumaNyingine uliniambia utanitumia ila bado sijaiona, naisubiri ujue
Natumai umenielewa vizuri sasa nimefurahiujue hatukukubaliana ni wapi natuma
Kufurahi asubuhi ni jambo jema sanaNatumai umenielewa vizuri sasa nimefurahi
Sana sana ukiwasiliana na unayempendaKufurahi asubuhi ni jambo jema sana
Unayempenda siku zote atakuwa furaha yakoSana sana ukiwasiliana na unayempenda
Yako furaha bado sijaiona au unanificha?Unayempenda siku zote atakuwa furaha yako
Mficha uchi hazaiYako furaha bado sijaiona au unanificha?
Hazai kwa sababu anaogopa duduMficha uchi hazai
Dudu washa linawasha hatariHazai kwa sababu anaogopa dudu
Hatari sana ukikutana na wasiojulikana kama weweDudu washa linawasha hatari
Wewe na mimi wote hatujulikaniHatari sana ukikutana na wasiojulikana kama wewe
Hatujulikani kwa sababu tunatumia majina na avatar fakeWewe na mimi wote hatujulikani
Fake fake zetu hizi zinatukosesha marafiki wa kweliHatujulikani kwa sababu tunatumia majina na avatar fake
Kweli kabisa hapa lazima kielewekeFake fake zetu hizi zinatukosesha marafiki wa kweli