Mshindi ni mimi hapa wanajifurahisha tuHuu uzi sijauona siku nyingi nimeusearch nikijuwa nakuja kuwa mshindi
Tutakua sambamba hadi kifo tuMshindi ni mimi hapa wanajifurahisha tu
Mshindi hawezi kupatikana hapa labda uzi ufutweHuu uzi sijauona siku nyingi nimeusearch nikijuwa nakuja kuwa mshindi
Tutakua sambamba hadi kifo tuMshindi ni mimi hapa wanajifurahisha tu
Ukifutwa mimi ndo ntakuwa mshindiMshindi hawezi kupatikana hapa labda uzi ufutwe
Ufutwe ili iwejeMshindi hawezi kupatikana hapa labda uzi ufutwe
Iweje uje leo halafu utake kuwa mshindi?Ufutwe ili iweje
Mshindi ndo mtu wa aina gani kwani?Iweje uje leo halafu utake kuwa mshindi?
Ghazwat hastahili kucheza huu mchezo maana sio mzoefuKwa kuwa sijatembelea hapa Kijijini muda mrefu. Mshindi ni Ghazwat
Ghazwat utakua msukuma weweKwa kuwa sijatembelea hapa Kijijini muda mrefu. Mshindi ni Ghazwat
Wewe ndiyi kijana matata?
Matatani nimeingia cha kikeWewe ndiyi kijana matata?
Kike ni jinsia pendwaMatatani nimeingia cha kike
Pendwa sana na mdada humu JF ni raha sanaKike ni jinsia pendwa
Mpendwa ni neno pendwa kwa wapendwa woteKike ni jinsia pendwa
Wote wanajua u tin'gali tin'gali kama vile lunch hourMpendwa ni neno pendwa kwa wapendwa wote
Wote nawapenda humu ila yupo nimemzimikia zaidiMpendwa ni neno pendwa kwa wapendwa wote
Zaidi ya yote nawatakia wakati mwemaWote nawapenda humu ila yupo nimemzimikia zaidi