montegobay
Senior Member
- May 4, 2016
- 115
- 133
baadae kama haiwezekani fanyeni keshoHuu muda niko busy tutaonana baadae
baadae kama haiwezekani fanyeni keshoHuu muda niko busy tutaonana baadae
Kesho ni siku nyinginebaadae kama haiwezekani fanyeni kesho
Hivi kwanini hamunielewi? Nimewaambia nipo busyNyengine pia itaanza kesho na tutaendeleza maneno kama hivi
Busy ata nabii titto pia yupo busy kutangaza kanisa lake la waleviHivi kwanini hamunielewi? Nimewaambia nipo busy
Walevi ni watu wenye uwezo mkubwa wa kuongea lugha ya kigeniBusy ata nabii titto pia yupo busy kutangaza kanisa lake la walevi

Walevi ni watu wenye uwezo mkubwa wa kuongea lugha ya kigeni![]()
inatumika kuonyesha furaha ya mtu katika jambo Fulani au haliHali ya hewa haieleweki siku hiziinatumika kuonyesha furaha ya mtu katika jambo Fulani au hali
Hizi ni nyakati mbaya sana kiuchumiHali ya hewa haieleweki siku hizi
Kiuchumi nikweliii thamani ya dollar inapanda ukilinganisha na TshHizi ni nyakati mbaya sana kiuchumi
Thamani yake sina nashindwaaaaa wa hata na Ksh aiseeeeTsh ya Tanzania ni ya kiboya sana haina thamani
Aiseee deogratius kishandu amekamatwa na polisiThamani yake sina nashindwaaaaa wa hata na Ksh aiseeee
Polisi wa nchi Hii., Ni roho ngumi?!?!Aiseee deogratius kishandu amekamatwa na polisi
Ngumi yangu ina uzito mkubwaPolisi wa nchi Hii., Ni roho ngumi?!?!
Ngumi watampiga tu uko uko mahabusuPolisi wa nchi Hii., Ni roho ngumi?!?!
Mahabusu si kuzuri kabisaNgumi watampiga tu uko uko mahabusu
Kabisa yani, muulize Deogratius KishanduMahabusu si kuzuri kabisa
Kabisa hapafai kwa afyaMahabusu si kuzuri kabisa
Afya njema hutokana na vyakula boraKabisa hapafai kwa afya