ledada
JF-Expert Member
- Oct 4, 2015
- 17,465
- 67,478
Bora elimu na sio elimu bora tanzania ya v-wonderAfya njema hutokana na vyakula bora
Bora elimu na sio elimu bora tanzania ya v-wonderAfya njema hutokana na vyakula bora
v-wonder ni neno gani mbona sijalielewa?Bora elimu na sio elimu bora tanzania ya v-wonder
Elewa tu ki elimu bure[emoji28]v-wonder ni neno gani mbona sijalielewa?
[emoji28] Nakuja kukusabahi hukoElewa tu ki elimu bure[emoji28]
Huko ulipo unafanya nini?[emoji28] Nakuja kukusabahi huko
Nini? Uwe unawaita wenzio wakuelekeze kabla ya kuulizaHuko ulipo unafanya nini?
Kuuliza sio ujingaNini? Uwe unawaita wenzio wakuelekeze kabla ya kuuliza
Ujinga ni kuendelea kuchangia huu uziKuuliza sio ujinga
Uzinguaji wa jipu lililoiva dawa yake ni kulitumbuaUjinga ni kuendelea kuchangia huu uzi
Kulitumbua jipu ni kulikamua bila ganzi ili kuondoa uchafu.Uzinguaji wa jipu lililoiva dawa yake ni kulitumbua
Uchafuzi wa Mazingira ni chanzo cha magonjwa ya mlipukoKulitumbua jipu ni kulikamua bila ganzi ili kuondoa uchafu.
sitasahau nlivyokua namkaza mtoto wa bosiMlipuko wa mabomu mbagala na gomz sitasahau
Bosi angejua ungekosa kazisitasahau nlivyokua namkaza mtoto wa bosi
Kazi gani mnayofanya sasa hivi?Bosi angejua ungekosa kazi
Hivi JF inalinganishwa na mtandao wa kijamii upi?Kazi gani mnayofanya sasa hivi?
Upi mtandao wewe binafsi huwezi ukapitisha siku bila ku login kama jf, hakunaga kama JFHivi JF inalinganishwa na mtandao wa kijamii upi?
JF ndiyo yenyeweUpi mtandao wewe binafsi huwezi ukapitisha siku bila ku login kama jf, hakunaga kama JF
Yenyewe ni bora kabisaJF ndiyo yenyewe