Mwifwa
JF-Expert Member
- Apr 3, 2017
- 48,718
- 126,564
Kabisa yaani tangu asubuhi nipo hapaYenyewe ni bora kabisa
Kabisa yaani tangu asubuhi nipo hapaYenyewe ni bora kabisa
Hapa ndiyo nyumbani mzee, nimekuona kuleee ukikaribisha mgeniKabisa yaani tangu asubuhi nipo hapa
Mgeni mwema ashakaribia, sasa anaandaa chakula cha jioniHapa ndiyo nyumbani mzee, nimekuona kuleee ukikaribisha mgeni
Jioni njema wapendwaMgeni mwema ashakaribia, sasa anaandaa chakula cha jioni
Wapendwa wameadimika sana humu mchezoniJioni njema wapendwa
Mchezoni ingia na wanamichezo asiye mwanamichezo atakukera.Wapendwa wameadimika sana humu mchezoni
Atakukera kweli maana atacheza cheza tuMchezoni ingia na wanamichezo asiye mwanamichezo atakukera.
Tutaendelea baadaeAtakukera kweli maana atacheza cheza tu
Baadae ntakuwa nshalalaTutaendelea baadae
Jioni ya leo imekua nzuri sana kwakoMgeni mwema ashakaribia, sasa anaandaa chakula cha jioni
Wapendwa leo ni fridayJioni njema wapendwa
Nshalala ndiyo kiswahili gani wewe ledadaBaadae ntakuwa nshalala
Ledada ndo huyo kabebwa kwenye avatar yakeNshalala ndiyo kiswahili gani wewe ledada
Yakemeeni maovu yoteLedada ndo huyo kabebwa kwenye avatar yake
Yote haya umesababisha wewe ledada jamaniYakemeeni maovu yote
Jaman mimi nimefanyaje tena?Yote haya umesababisha wewe ledada jamani
Tena hata maji sinywi, ugali haupiti, wali ndiyo basi tena jamani, mbona wanitesa hivyo wewe ledadaJaman mimi nimefanyaje tena?
Tena mlivyo na vurugu, si nimewaambia baadae?Jaman mimi nimefanyaje tena?
Baadae mimi sitakiTena mlivyo na vurugu, si nimewaambia baadae?
Sitaki nikuambie hapa, twende zetu chumbaniBaadae mimi sitaki