bbc
JF-Expert Member
- Jan 18, 2016
- 3,836
- 4,152
Line ni mstariOff line
Line ni mstariOff line
Mstari ulionyookaLine ni mstari
Ulionyooka kwa kuangalia kwa macho.Mstari ulionyooka
Macho hayana paziaUlionyooka kwa kuangalia kwa macho.
Pazia la macho ni kuangalia chiniMacho hayana pazia
Yanga ya Jangwani au...!Chini kuna simba juu kuna yanga
Bando linatesa, uwanja wote huu wawili tu!Au watu wamekosa bando
Kabisa nimewamiss watu wangu wa nguvuMagendo sasa hivi hayaruhusiwi kabisa
Nguvu mpya na kasi ya ajabuKabisa nimewamiss watu wangu wa nguvu
Patikana kivipi yani?Ajabu ni kuwa tangu Uzi huu uanzishwe mshindi hajawahi patikana
Patikana kivipi yani?
Atapatikana hivi karibuniAjabu ni kuwa tangu Uzi huu uanzishwe mshindi hajawahi patikana
Mshindi ni mtu aliyefanikiwa katika mashindanoYani wa mwisho Si ndio mshindi?